RASMI YANGA YAACHANA NA KABWILI

Golikipa namba mbili wa Yanga, Ramadhani Kabwili ameachwa rasmi na klabu ya Yanga. Taarifa za ndani zinaeleza kuwa juzi Desemba 19, 2021, Kabwili alipewa barua ya kwaheri na Yanga na kumtakia kila la kheri hivyo sasa yupo huru kujiunga na timu nyingine yoyote. Uongozi wa klabu ya Yanga unatekeleza ripoti ya kocha Nabi ambaye ameutaka